Genesis 7:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuhu alikuwa na umri wa miaka mia sita gharika ilipokuja juu ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Noa alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuhu alikuwa na miaka 600 gharika ilipokuja juu ya dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Noa alikuwa na umri wa miaka 600 wakati gharika ilipotokea nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Noa alikuwa mwenye miaka 600 hapo, mafuriko ya maji mengi yalipokuwa juu ya nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Nuhu alikuwa mtu wa miaka mia sita hapo hiyo gharika ya maji ilipokuwa juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Noa alikuwa na umri wa miaka mia sita wakati mafuriko ya maji yalipotokea juu ya inchi.