Genesis 7:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanyama walio safi, wanyama walio najisi, ndege na viumbe vyote vitambaavyo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vinavyotambaa ardhini,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na katika wanyama walio safi, na wanyama wasio safi, na ndege, navyo vyote vitambaavyo juu ya nchi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanyama walio safi, wanyama walio najisi, ndege na viumbe vyote vitambaavyo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jozi ya wanyama wasio najisi na walio najisi, ndege na viumbe vita ambaavyo,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jozi ya wanyama walio safi na walio najisi, ndege na viumbe vitambaavyo,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na katika wanyama walio safi, na wanyama wasio safi, na ndege, navyo vyote vitambaavyo juu ya nchi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanyama walio safi, wanyama walio najisi, ndege na viumbe vyote vitambaavyo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao nyama wanaotakata nao wasiotakata nao ndege nao wote wanaotambaa katika nchi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na katika wanyama walio safi, na wanyama wasio safi, na ndege, navyo vyote vitambaavyo juu ya nchi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyama wanaohesabiwa kuwa safi, nyama wanaohesabiwa kuwa wachafu, ndege na viumbe vyote vinavyotambaa,