Genesis 7:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wawiliwawili, dume na jike, wakaingia ndani ya safina pamoja na Noa kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wa kiume na wa kike, walikuja kwa Nuhu, wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Nuhu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakaingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, mume na mke, kama vile Mungu alivyomwamuru Nuhu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wawiliwawili, dume na jike, wakaingia ndani ya safina pamoja na Noa kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wa kiume na wa kike, walikuja kwa Noa wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Noa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wa kiume na wa kike, walikuja kwa Nuhu wakaingia katika safina kama Mungu alivyomwamuru Nuhu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakaingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, wa kike na wa kiume, kama vile Mungu alivyomwamuru Nuhu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wawiliwawili, dume na jike, wakaingia ndani ya safina pamoja na Noa kama Mungu alivyomwamuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakaingia wawili wawili chomboni mwake Noa, wa kiume na wa kike, kama Mungu alivyomwagiza Noa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakaingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, mume na mke, kama vile Mungu alivyomwamuru Nuhu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wawiliwawili, dume na dike, wakaingia ndani ya chombo pamoja na Noa kama vile Mungu alivyomwamuru.