Genesis 8:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akangoja siku nyingine saba, akamtoa tena yule njiwa; safari hii njiwa hakurudi kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akangojea siku saba zaidi na akamtuma tena hua, lakini wakati huu hua hakurudi tena kwa Nuhu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akangoja na siku saba tena, akamtoa yule njiwa; naye asimrudie tena kamwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akangoja siku nyingine saba, akamtoa tena yule njiwa; safari hii njiwa hakurudi kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akangojea siku saba zaidi na akamtuma tena hua, lakini wakati huu hua hakurudi tena kwa Noa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akangojea siku saba zaidi na akamtuma tena hua, lakini wakati huu hua hakurudi tena kwa Nuhu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akangoja na siku saba tena, akamtoa yule njiwa; naye asimrudie tena kamwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akangoja siku nyingine saba, akamtoa tena yule njiwa; safari hii njiwa hakurudi kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akangoja tena siku saba nyingine, akatoa tena njiwa, naye hakurudi tena kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akangoja na siku saba tena, akamtoa yule njiwa; naye asimrudie tena kamwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akangoja siku zingine saba, akatuma tena yule njiwa; mara hii, njiwa hakurudi kabisa.