Genesis 8:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakatoka kufuatana na jamii zao, wanyama wote wa porini, viumbe wote watambaao, ndege wote na wanyama wote hai duniani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama wote na viumbe vyote vinavyotambaa ardhini, na ndege wote, kila kitu kinachoenda juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kila mnyama, na kila kitambaacho, na kila ndege, kila kinachokwenda juu ya nchi kwa kabila zao, wakatoka katika safina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakatoka kufuatana na jamii zao, wanyama wote wa porini, viumbe wote watambaao, ndege wote na wanyama wote hai duniani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama wote na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi na ndege wote, kila kitu kiendacho juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina, kila aina ya kiumbe, kimoja baada ya kingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama wote na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi na ndege wote, kila kitu kiendacho juu ya nchi, aina moja baada ya nyingine vikatoka katika safina, kila aina ya kiumbe, kimoja baada ya kingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kila mnyama, na kila kitambaacho, na kila ndege, kila kinachokwenda juu ya nchi kwa aina zao, wakatoka katika safina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakatoka kufuatana na jamii zao, wanyama wote wa porini, viumbe wote watambaao, ndege wote na wanyama wote hai duniani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena nyama wote na wadudu wote na ndege wote nao wote waliotambaa katika nchi wakatoka chomboni, walimokuwa, kabila kwa kabila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kila mnyama, na kila kitambaacho, na kila ndege, kila kinachokwenda juu ya nchi kwa kabila zao, wakatoka katika safina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakatoka, kufuatana na jamii zao, nyama wote wa pori, viumbe vyote vinavyotambaa, ndege wote na nyama wote wenye uzima katika dunia.