Genesis 8:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chemchemi za vilindi zikawa zimefungwa, na malango ya mafuriko ya mbinguni pia yakawa yamefungwa; nayo mvua ikawa imekoma kunyesha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Zile chemchemi zilizo chini sana ya ardhi pamoja na malango ya mafuriko ya mbinguni yakawa yamefungwa nayo mvua ikawa imekoma kunyesha kutoka angani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chemchemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nazo chemchemi za vilindini zikazibwa, nayo madirisha ya mbinguni yakafungwa, nazo mvua zilizotoka mbinguni zikakomeshwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
chemchemi za vilindi zikafungwa, pia na madirisha ya mbinguni, mvua kutoka mbinguni ikazuiliwa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Chemichemi za maji ya vilindi na madirisha ya mbinguni yakafungwa. Mvua ikazuiwa,