Genesis 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya mwezi, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua katika milima ya Ararati.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya mwezi, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha kile chombo kikaja kutua kileleni kwa milima ya Ararati katika mwezi wa saba siku ya kumi na saba ya mwezi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwezi wa saba, siku ya kumi na saba ya mwezi, safina ikatua juu ya milima ya Ararati.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku ya kumi na saba ya mwezi wa saba, chombo ikatua juu ya milima ya Ararati.