Genesis 8:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi. Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maji yakapungukapunguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo maji yakawa yakiendelea kupunguka mpaka mwezi wa kumi. Siku ya kwanza ya mwezi katika mwezi wa kumi ndipo, vichwa vya milima vilipotokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maji yakapunguka-punguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maji yakaendelea kupunguka polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana.