Genesis 8:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akamtoa kunguru, naye akawa akiruka kwenda na kurudi hadi maji yalipokwisha kukauka juu ya dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huko na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
na akamtoa kunguru, akawa akiruka kwenda na kurudi mpaka maji yalipokwisha kukauka juu ya nchi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huku na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamtoa kunguru nje, naye hakurudi bali aliruka huko na huko mpaka maji yalipokauka nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akatoa kunguru; huyu akaruka kwenda na kurudi kwenda na kurudi, mpaka maji yakikauka katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akatoa kunguru, naye akatoka akaenda huko na huko, hata maji yakakauka juu ya nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akatuma kibombobombo inje, naye hakurudi, lakini aliruka kule na kule mpaka maji yalipokauka katika inchi.