Genesis 9:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nimeuweka upindi wangu mawinguni, nao utakuwa kielekezo cha agano, mimi nililoliagana na nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ninaweka upinde wangu katika mawingu, nao utakuwa kitambulisho cha agano kati yangu na dunia.