Genesis 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukatokea mawinguni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati wo wote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Itakapokuwa, nikitanda mawingu mengi juu ya nchi, huo upindi utaoneka mawinguni;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara nitakapofunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu,