Genesis 9:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nitakumbuka agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nitakumbuka Agano langu kati yangu na ninyi na viumbe vyote vilivyo hai vya kila aina. Kamwe maji hayatakuwa tena gharika ya kuangamiza uhai wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nitalikumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote hai. Kamwe maji hayatageuka kuwa gharika ya kuviangamiza viumbe vyote hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, nitakapolikumbuka agano langu mimi, nililoliagana nanyi nao wote wenye roho za uzima, ndio wote wenye miili, ya kwamba: Hayatakuwako tena mafuriko ya maji ya kuwaangamiza wote wenye miili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
nami nitalikumbuka agano langu, lililoko kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai katika wote wenye mwili, wala maji hayatakuwa gharika tena kuwaharibu wote wenye mwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
nitakumbuka agano langu nanyi na viumbe vyote vyenye uzima. Maji hayatageuka hata kidogo kuwa mafuriko ya kuangamiza viumbe vyote vyenye uzima.