Genesis 9:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hao walikuwa wana watatu wa Nuhu, na kutokana nao watu walienea katika dunia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Noa, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wana watatu wa Nuhu, kutokana nao watu walienea katika dunia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hao ndio watoto watatu wa Noa, na kutokana nao watu walienea duniani kote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa watatu walikuwa wana wa Noa; toka kwao hawa watu wakaineza nchi yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa watatu walikuwa wana wa Nuhu na kwa hao nchi yote ikaenea watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hao ndio wana watatu wa Noa na kutokana nao watu walienea katika dunia yote.