Genesis 9:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akanywa divai, akalewa, kisha akalala uchi hemani mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokunywa huo mvinyo wake, akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akanywa divai, akalewa, kisha akalala uchi hemani mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokunywa huo mvinyo wake akalewa na akalala uchi kwenye hema lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akanywa divai, akalewa, kisha akalala uchi hemani mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini alipokunywa mvinyo akalewa, akalala hemani pasipo kujifunika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akanywa divai, akalewa; akawa uchi katika hema yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akakunywa divai, akalewa, kisha akalala uchi ndani ya hema yake.