Genesis 9:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuhu alipolevuka na kujua lile mwanawe mdogo alilomtendea,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Noa alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuhu alipolevuka kutoka kwenye mvinyo wake na kujua lile ambalo mwanawe mdogo kuliko wote alilokuwa amemtendea,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Noa alipolevuka na kujua alivyotendewa na mwanawe mdogo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Noa alipolevuka katika ulevi wa mvinyo, naye alipoyatambua, mwanawe mdogo aliyomfanyizia,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulevi wa Noa ulipokwisha naye alipojua alivyotendewa na mwana wake mudogo,