Genesis 9:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akasema, “Kanaani na alaaniwe! Atakuwa mtumwa wa watumwa kwa ndugu zake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akasema, “Alaaniwe Kanaani! Atakuwa mtumwa wa chini kabisa kwa ndugu zake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akasema, “Kanaani na alaaniwe! Atakuwa mtumwa wa watumwa kwa ndugu zake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akasema, “Alaaniwe Kanaani! Atakuwa mtumwa wa chini sana kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akasema, “Alaaniwe Kanaani! Atakuwa mtumwa wa chini sana kuliko watumwa wote kwa ndugu zake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Na alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akasema, “Kanaani na alaaniwe! Atakuwa mtumwa wa watumwa kwa ndugu zake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo aliposema: Kanaani na awe ameapizwa! Sharti awe mtumwa wa watumwa kwa ndugu zake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Na alaaniwe Kanaani; Atakuwa mtumwa kabisa kwa ndugu zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akasema: “Kanana alaaniwe! Atakuwa mutumwa wa watumwa kwa wandugu zake.”