Genesis 9:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia akasema, “Atukuzwe Mwenyezi Mungu, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akasema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia akasema, “Abarikiwe BWANA, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia akasema, “Abarikiwe bwana, Mungu wa Shemu! Kanaani na awe mtumwa wa Shemu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akasema, Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena akasema, “Shemu na abarikiwe na Mwenyezi-Mungu, Mungu wangu! Kanaani na awe mtumwa wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akasema: na atukuzwe Bwana, Mungu wa Semu! Naye Kanaani sharti awe mtumwa wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akasema, Na atukuzwe BWANA Mungu wa Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena akasema: “Semu abarikiwe na Yawe, Mungu wangu! Kanana akuwe mutumwa wake.