Genesis 9:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu na amkuze Yafethi, aishi katika hema za Shemu; Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu akamnafisishe Yafethi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu na amkuze Yafethi, aishi katika hema za Shemu; Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu na apanue mipaka ya Yafethi; Yafethi na aishi katika mahema ya Shemu, na Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu amwongezee Yafethi. Na akae katika hema za Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu na amkuze Yafethi, aishi katika hema za Shemu; Kanaani na awe mtumwa wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu na ampanulie naye Yafeti, apate kukaa mahemani mwa Semu! Naye Kanaani sharti awe mtumwa wake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu akamnafisishe Yafethi. Na akae katika hema za Shemu; Na Kanaani awe mtumwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu amuzidishe Yafeti, aishi katika hema za Semu; Kanana akuwe mutumwa wake.”