Genesis 9:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nuhu aliishi jumla ya miaka mia tisa na hamsini, ndipo akafa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia kenda na hamsini, akafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Noa alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nuhu alikuwa na jumla ya miaka 950, ndipo akafa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia tisa na hamsini, akafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kisha akafariki akiwa na umri wa miaka 950.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo siku zote za kuwapo kwake Noa zikawa miaka 950, kisha akafa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku zote za Nuhu zilikuwa miaka mia kenda na hamsini, akafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
kisha akakufa akiwa na umri wa miaka mia tisa na makumi tano.