Genesis 9:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu, kwa maana damu ni uhai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Lakini kamwe msile nyama ambayo bado ina damu ya uhai wake, kwa maana damu ni uhai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini msile nyama yenye damu, kwani uhai uko katika damu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nyama walio wazima bado, maana walio wenye damu zao msiwale!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali nyama pamoja na uhai, yaani, damu yake, msile.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini musikule nyama wenye damu, maana uzima uko katika damu.