Genesis 9:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu; kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ye yote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, damu yake itamwagwa na mwanadamu, kwa kuwa katika mfano wa Mungu, Mungu alimuumba mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atakayemwaga damu ya mtu damu yake nayo sharti imwagwe na mtu, kwa kuwa Mungu alimfanya mtu kwa mfano wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakayemwaga damu ya mwanadamu, damu yake huyo itamwagwa na mwanadamu, maana kwa mfano wake Mungu alimfanya mwanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemwanga damu ya mwanadamu, damu yake itamwangwa na mwanadamu; maana mwanadamu aliumbwa kwa mufano wa Mungu.