Habakkuk 1:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na kufanya wanadamu kuwa kama samaki wa baharini, kama vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe wa bahari wasio na mtawala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na kufanya wanadamu kuwa kama samaki wa baharini, kama vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Umewafanya watu kama samaki baharini, kama viumbe vitambaavyo visivyo na kiongozi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Unataka, watu wawe kama samaki wa baharini au kama wadudu wakosao awatawalaye?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na kufanya wanadamu kuwa kama samaki wa baharini, kama vitu vitambaavyo, ambavyo havina mtawala?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewafanya watu kama samaki katika bahari, kama viumbe vinavyotambaa visivyokuwa na mwongozi!