Habakkuk 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaldayo huwavua watu kwa ndoana, huwavutia nje kwa wavu wao, huwakusanya wote katika jarife lao, kisha hufurahi na kushangilia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, anawakamata katika wavu wake, anawakusanya katika juya lake; kwa hiyo anashangilia na anafurahi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye huwatoa wote kwa ndoana yake, huwakamata katika wavu wake, na kuwakusanya katika juya lake; ndiyo sababu afurahi na kupendezwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaldayo huwavua watu kwa ndoana, huwavutia nje kwa wavu wao, huwakusanya wote katika jarife lao, kisha hufurahi na kushangilia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, anawakamata katika wavu wake, anawakusanya katika juya lake, kwa hiyo anashangilia na anafurahi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, anawakamata katika wavu wake, anawakusanya katika juya lake; kwa hiyo anashangilia na anafurahi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye huwatoa wote kwa ndoana yake, huwakamata katika wavu wake, na kuwakusanya katika juya lake; ndiyo sababu afurahi na kupendezwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaldayo huwavua watu kwa ndoana, huwavutia nje kwa wavu wao, huwakusanya wote katika jarife lao, kisha hufurahi na kushangilia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye amewapandisha hawa wote kwa ndoana, akawakamata namo katika nyavu zake, akawakusanya katika majarifa yake, kwa hiyo akafurahi na kupiga vigelegele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye huwatoa wote kwa ndoana yake, huwakamata katika wavu wake, na kuwakusanya katika juya lake; ndiyo sababu afurahi na kupendezwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaldea wanawavua watu kwa ndoana, wanawakokotea inje kwa nyavu zao, wanawakusanya wote katika wavu wao, kisha wanafurahi na kushangilia.