Habakkuk 1:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake, akiangamiza mataifa bila huruma?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, hawataacha kamwe kuvuta upinde wao? Je, wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Kwa hiyo utamwacha, awatoe vivyo hivyo, wavu wake uliowakamata, akiendelea kuua mataifa mazima pasipo kuwahurumia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Atawatoa walio katika wavu wake, asiache kuwaua watu wa mataifa daima?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawataacha hata kidogo kuvuta upinde wao? Wataendelea tu kuwanasa watu, na kuyaangamiza mataifa bila huruma?