Habakkuk 1:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; wenyewe ndio sheria yao, na huinua heshima yao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao ni watu wa kutisha sana, wa kuogofya sana; hukumu yao na ukuu wao hutoka katika nafsi zao wenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; wenyewe ndio sheria yao na huinua heshima yao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni watu wanoogopwa na wanaotisha; wenyewe ndio sheria yao, na huinua heshima yao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao ni watu wa kutisha sana, wa kuogofya sana; hukumu yao na ukuu wao hutoka katika nafsi zao wenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao hujiamulia wenyewe nini haki na adhama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndio watu watishao kwa kutia woga, kwao hao hutoka amri zilizo za majivuno tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao ni watu wa kutisha sana, wa kuogofya sana; hukumu yao na ukuu wao hutoka katika nafsi zao wenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao ni watu wa kuchukiza na kutisha; wao wanajiamulia sheria wenyewe na kujipatia mamlaka.