Habakkuk 1:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Farasi wao ni wepesi kuliko chui; wakali kuliko mbwamwitu wenye njaa. Wapandafarasi wao wanatoka mbali, wanaruka kasi kama tai arukiavyo mawindo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Farasi wao ni wepesi kuliko chui, na wakali kuliko mbwa-mwitu wakati wa machweo. Askari wapanda farasi wao huenda mbio; waendesha farasi wao wanatoka mbali. Wanaruka kasi kama tai ili kurarua mawindo;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Farasi zao ni wepesi kuliko chui, ni wakali kuliko mbwa-mwitu wa jioni; na wapanda farasi wao hujitapa naam, wapanda farasi wao watoka mbali sana; huruka kama tai afanyaye haraka ale.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Farasi wao ni wepesi kuliko chui; wakali kuliko mbwamwitu wenye njaa. Wapandafarasi wao wanatoka mbali, wanaruka kasi kama tai arukiavyo mawindo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Farasi wao ni wepesi kuliko chui, na wakali kuliko mbwa mwitu wakati wa machweo. Askari wapanda farasi wao huenda mbio; waendesha farasi wao wanatoka mbali. Wanaruka kasi kama tai ili kunyafua;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Farasi wao ni wepesi kuliko chui, na wakali kuliko mbwa mwitu wakati wa machweo. Askari wapanda farasi wao huenda mbio; waendesha farasi wao wanatoka mbali. Wanaruka kasi kama tai ili kurarua;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Farasi wao ni wepesi kuliko chui, ni wakali kuliko mbwamwitu wa jioni; na wapanda farasi wao hujitapa naam, wapanda farasi wao watoka mbali sana; huruka kama tai afanyaye haraka ale.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Farasi wao ni wepesi kuliko chui; wakali kuliko mbwamwitu wenye njaa. Wapandafarasi wao wanatoka mbali, wanaruka kasi kama tai arukiavyo mawindo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Farasi wao hupiga mbio kushinda machui, ni wepesi sana kuliko mbwa wa mwitu wawindao jioni. Wapanda farasi wa kwao hujitata; tena hao wapanda farasi wakija kutoka mbali huruka kama tai wakimbiliao kula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farasi zao ni wepesi kuliko chui, ni wakali kuliko mbwa-mwitu wa jioni; na wapanda farasi wao hujitapa naam, wapanda farasi wao watoka mbali sana; huruka kama tai afanyaye haraka ale.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Farasi wao ni wepesi kuliko chui, wakali kuliko imbwa wa pori wenye njaa. Waaskari wapanda-farasi wao wanatoka mbali, wanaruka mbio kama tai anavyorukia nyama.