Habakkuk 2:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini kwa mipango yako umeiaibisha jamaa yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi, umeyaangamiza maisha yako mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umepanga njama ya maangamizi ya watu wengi, ukiaibisha nyumba yako mwenyewe, na kupotewa na maisha yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe umeifanyia nyumba yako kusudi la aibu, kwa kukatilia mbali watu wengi, nawe umetenda dhambi juu ya roho yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini kwa mipango yako umeiaibisha jamaa yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi, umeyaangamiza maisha yako mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umefanya shauri la maangamizi ya watu wengi, ukiaibisha nyumba yako mwenyewe na kupotewa na maisha yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umefanya shauri la maangamizi ya watu wengi, ukiaibisha nyumba yako mwenyewe, na kupotewa na maisha yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe umeifanyia nyumba yako kusudi la aibu, kwa kukatilia mbali watu wengi, nawe umetenda dhambi juu ya roho yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini kwa mipango yako umeiaibisha jamaa yako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi, umeyaangamiza maisha yako mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mashauri yako yatautia mlango wako soni: ulipoangamiza makabila mengi, umeikosesha roho yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe umeifanyia nyumba yako kusudi la aibu, kwa kukatilia mbali watu wengi, nawe umetenda dhambi juu ya roho yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini kwa mipango yako umefezehesha jamaa lako. Kwa kuyaangamiza mataifa mengi, umeyaangamiza maisha yako mwenyewe.