Habakkuk 2:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu utaenea pote duniani, kama vile maji yaeneavyo baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Mwenyezi Mungu, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa Bwana, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu utaenea pote duniani, kama vile maji yaeneavyo baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa bwana, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukufu wa Mwenyezi-Mungu utaenea pote duniani, kama vile maji yaeneavyo baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani nchi hii itajazwa nao waujuao utukufu wa Bwana, kama maji yanavyofurikia baharini na kuyafunika yote
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana dunia itajazwa maarifa ya utukufu wa BWANA, kama maji yaifunikavyo bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukufu wa Yawe utaenea pote katika dunia, kama vile maji yanavyoenea katika bahari.