Habakkuk 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu; dunia yote na ikae kimya mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Mwenyezi Mungu yuko katika Hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze mbele yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Bwana yumo ndani ya hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze kimya mbele zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu; dunia yote na ikae kimya mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini BWANA yuko katika Hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze mbele yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini bwana yuko katika Hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze mbele yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini BWANA yumo ndani ya hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze kimya mbele zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu yumo katika hekalu lake takatifu; dunia yote na ikae kimya mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Bwana yumo Jumbani mwake mwenye utakatifu, usoni pake kila mtu wa nchi hii anyamaze kimya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini BWANA yumo ndani ya hekalu lake takatifu; dunia yote na inyamaze kimya mbele zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe yuko katika hekalu lake takatifu; dunia yote ikae kimya mbele yake.