Habakkuk 2:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Andika: ‘Waangalie wenye kiburi, hao wataangamia; lakini waadilifu wataishi kwa kumwamini Mungu.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Tazama, amejaa majivuno; anavyovitamani si vya unyofu: lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Andika: ‘Waangalie wenye kiburi, hao wataangamia; lakini waadilifu wataishi kwa kumwamini Mungu.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Tazama, amejaa majivuno, anavyovitamani si vya unyofu. Lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Tazama, amejaa majivuno; anavyovitamani si vya unyofu: lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Andika: ‘Waangalie wenye kiburi, hao wataangamia; lakini waadilifu wataishi kwa kumwamini Mungu.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona, moyo wake umejitutumua wenyewe, haunyoki; lakini mwongofu atapata uzima kwa kumtegemea Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, roho yake hujivuna, haina unyofu ndani yake; lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Andika: Uwaangalie wenye kiburi, hao wataangamia; lakini wenye haki wataishi kwa kumwamini Mungu.