Habakkuk 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jua na mwezi vilikaa kimya katika makazi yao, vilipoona miali ya mishale yako ikienda kasi, naam, vilipouona mkuki wako ukimetameta.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni katika mng’ao wa mishale yako inayoruka, na katika mng’ao wa mkuki wako umeremetao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jua na mwezi vikasimama makaoni mwao; Mbele ya nuru ya mishale yako ilipotapakaa, Mbele ya mwangaza wa mkuki wako umeremetao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jua na mwezi vilikaa kimya katika makazi yao, vilipoona miali ya mishale yako ikienda kasi, naam, vilipouona mkuki wako ukimetameta.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni katika mng'ao wa mishale yako inayoruka, na katika mng'ao wa mkuki wako umeremetao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni katika mng’ao wa mishale yako inayoruka, na katika mng’ao wa mkuki wako umeremetao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jua na mwezi vikasimama makaoni mwao; Mbele ya nuru ya mishale yako ilipotapakaa, Mbele ya mwangaza wa mkuki wako umeremetao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jua na mwezi vilikaa kimya katika makazi yao, vilipoona miali ya mishale yako ikienda kasi, naam, vilipouona mkuki wako ukimetameta.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jua na mwezi husimama kwao, mishale yako ikija kumulika, nao umeme wa mkuki wako ukimetameta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jua na mwezi vikasimama makaoni mwao; Mbele ya nuru ya mishale yako ilipotapakaa, Mbele ya mwangaza wa mkuki wako umeremetao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jua na mwezi vilikaa kimya katika makao yao, vilipoona mwangaza wa mishale yako ikienda mbio, vilipouona mukuki wako ukimetameta.