Habakkuk 3:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa ghadhabu ulipita juu ya nchi, uliyakanyaga mataifa kwa hasira yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ghadhabu ulipitia kwenye dunia, na katika hasira ulikanyaga mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulikwenda katikati ya nchi kwa ghadhabu; Ukawapura mataifa kwa hasira.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa ghadhabu ulipita juu ya nchi, uliyakanyaga mataifa kwa hasira yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ghadhabu ulipita juu ya dunia na katika hasira ulikanyaga mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ghadhabu ulipita juu ya dunia, na katika hasira ulikanyaga mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulikwenda katikati ya nchi kwa ghadhabu; Ukawapura mataifa kwa hasira.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa ghadhabu ulipita juu ya nchi, uliyakanyaga mataifa kwa hasira yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kukasirika unaikanyaga nchi, kwa kuchafuka unayaponda mataifa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulikwenda katikati ya nchi kwa ghadhabu; Ukawapura mataifa kwa hasira.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kasirani ulipita juu ya inchi, uliyakanyaga mataifa kwa hasira yako.