Habakkuk 3:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ulitoka kwenda kuwaokoa watu wako, kumwokoa yule uliyemweka wakfu kwa mafuta. Ulimponda kiongozi wa jamii ya waovu, ukawaangamiza kabisa wafuasi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulikuja kuwaokoa watu wako, kumwokoa uliyempaka mafuta. Ulimponda kiongozi wa nchi ya uovu, ukamvua toka kichwani hadi wayo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukatokea kwa ajili ya wokovu wa watu wako, Kwa ajili ya wokovu wa masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ulitoka kwenda kuwaokoa watu wako, kumwokoa yule uliyemweka wakfu kwa mafuta. Ulimponda kiongozi wa jamii ya waovu, ukawaangamiza kabisa wafuasi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulikuja kuwaokoa watu wako, kumwokoa masiya wako. Ulimponda kiongozi wa nchi ya uovu, ukamvua toka kichwani hadi wayo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulikuja kuwaokoa watu wako, kumwokoa uliyemtia mafuta. Ulimponda kiongozi wa nchi ya uovu, ukamvua toka kichwani hadi wayo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukatokea kwa ajili ya wokovu wa watu wako, Kwa ajili ya wokovu wa masihi wako; Ukakiponda kichwa cha nyumba ya waovu, Ukiuweka wazi msingi hata mwambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ulitoka kwenda kuwaokoa watu wako, kumwokoa yule uliyemweka wakfu kwa mafuta. Ulimponda kiongozi wa jamii ya waovu, ukawaangamiza kabisa wafuasi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umetokea kuwaokoa walio ukoo wako, upate kumwokoa uliyempaka mafuta, ukaviponda vichwa vyao wasiokucha nyumbani mwao, ukazibomoa toka misingi hata vipaani. (kituo.)
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukatokea kwa ajili ya wokovu wa watu wako, Kwa ajili ya wokovu wa masihi wako; Ukakiponda kichwa cha nyumba ya waovu, Ukiuweka wazi msingi hata mwambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulitoka kwenda kuwaokoa watu wako, kumwokoa yule uliyemusimika kwa kumupakaa mafuta. Ulimuponda mutawala wa jamii ya waovu, ukawaangamiza kabisa wafuasi wake.