Habakkuk 3:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amiri jeshi ulimchoma mishale yako, jeshi lilipokuja kama kimbunga kututawanya, wakijigamba kuwaangamiza maskini mafichoni mwao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake wakati mashujaa wake walifurika nje kwa kishindo kututawanya, wakifurahi kama walio karibu kutafuna wale wanyonge waliokuwa mafichoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukakichoma kichwa cha mashujaa wake kwa fimbo zao wenyewe; Wakaja kama kisulisuli ili kunitawanya; Kama wakifurahi kuwameza maskini kwa siri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amiri jeshi ulimchoma mishale yako, jeshi lilipokuja kama kimbunga kututawanya, wakijigamba kuwaangamiza maskini mafichoni mwao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake wakati mashujaa wake walipofurika nje kwa kishindo kututawanya, wakifurahi kama waliokaribu kutafuna wale wanyonge waliokuwa mafichoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake wakati mashujaa wake walifurika nje kwa kishindo kututawanya, wakifurahi kama walio karibu kutafuna wale wanyonge waliokuwa mafichoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukakichoma kichwa cha mashujaa wake kwa fimbo zao wenyewe; Wakaja kama kisulisuli ili kunitawanya; Kama wakifurahi kuwameza maskini kwa siri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amiri jeshi ulimchoma mishale yako, jeshi lilipokuja kama kimbunga kututawanya, wakijigamba kuwaangamiza maskini mafichoni mwao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa mikuki yao unavichoma vichwa vya vikosi vyao vijavyo mbio kama kimbunga kunikimbiza mimi na kunizomea kama watu wanaotaka kula mnyonge fichoni pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukakichoma kichwa cha mashujaa wake kwa fimbo zao wenyewe; Wakaja kama kisulisuli ili kunitawanya; Kama wakifurahi kuwameza maskini kwa siri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umetoboa vichwa vya wakubwa wao kwa mikuki yao wenyewe, waliotufikia kama zoruba kututawanya, wakijivuna kwa kuwameza wamasikini kwa siri.