Habakkuk 3:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu nitamshangilia Mungu anayeniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
hata hivyo nitashangilia katika Mwenyezi Mungu, nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini nitamfurahia Bwana Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu nitamshangilia Mungu anayeniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
hata hivyo nitashangilia katika BWANA, nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hata hivyo nitashangilia katika bwana, nitamfurahia Mungu Mwokozi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini nitamfurahia BWANA, Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi nitaendelea kumfurahia Mwenyezi-Mungu nitamshangilia Mungu anayeniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mimi ninayemfurahia, ndiye Bwana, ninamshangilia Mungu wangu aliyeniokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini nitamfurahia BWANA Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi nitaendelea kumufurahia Yawe. Nitamushangilia Mungu anayeniokoa.