Habakkuk 3:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mng'ao wake ni kama wa jua; miali imetoka mkononi mwake ambamo nguvu yake yadhihirishwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mng’ao wake ulikuwa kama jua linapochomoza; miali ilimulika kutoka mkononi mwake, ambako nguvu zake zilifichwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwangaza wake ulikuwa kama nuru; Alikuwa na mishale ya nuru ubavuni pake; Ndipo ulipofichwa uweza wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mng'ao wake ni kama wa jua; miali imetoka mkononi mwake ambamo nguvu yake yadhihirishwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mng'ao wake ulikuwa kama jua lichomozalo, mionzi ilimulika kutoka mkononi mwake, ambako nguvu zake zilifichwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mng’ao wake ulikuwa kama jua lichomozalo; mionzi ilimulika kutoka mkononi mwake, ambako nguvu zake zilifichwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwangaza wake ulikuwa kama nuru; Alikuwa na mishale ya nuru ubavuni pake; Ndipo ulipofichwa uweza wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mng'ao wake ni kama wa jua; miali imetoka mkononi mwake ambamo nguvu yake yadhihirishwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huangaza kama mwanga wa jua, miali hutoka mkononi mwake; ndimo, nguvu zake zifichikamo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwangaza wake ulikuwa kama nuru; Alikuwa na mishale ya nuru ubavuni pake; Ndipo ulipofichwa uweza wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anangaa kama jua; mishale ya mwangaza inatoka katika mukono wake ambamo nguvu yake inajificha.