Habakkuk 3:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliuweka tayari uta wako, ukaweka mishale yako kwenye kamba. Uliipasua ardhi kwa mito.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uliufunua upinde wako na kuitisha mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uta wako ukafanywa wazi kabisa; Viapo walivyopewa kabila vilikuwa neno thabiti; Ukaipasua nchi kwa mito.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliuweka tayari uta wako, ukaweka mishale yako kwenye kamba. Uliipasua ardhi kwa mito.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliufunua upindi wako na kuita mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliufunua upinde wako na kuita mishale mingi. Uliigawa dunia kwa mito;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uta wako ukafanywa wazi kabisa; Viapo walivyopewa makabila vilikuwa neno thabiti; Ukaipasua nchi kwa mito.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliuweka tayari uta wako, ukaweka mishale yako kwenye kamba. Uliipasua ardhi kwa mito.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Uta wako umefunuliwa, utokee waziwazi, kama ulivyoziapia koo za watu kwa neno lako (Kituo.) Unapoipasua nchi, hapo hutokea majito.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uta wako ukafanywa wazi kabisa; Viapo walivyopewa kabila vilikuwa neno thabiti; Ukaipasua nchi kwa mito.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Uliuweka tayari upinde wako, ukaweka mishale yako kwenye kamba. Uliupasua udongo kwa mito.