Haggai 1:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo, mbingu zimezuia umande wake na ardhi mavuno yake kwa sababu yenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo, kwa sababu yenu mbingu zimezuia umande wake na ardhi mavuno yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo, kwa sababu yenu mbingu zimezuia umande wake na ardhi mavuno yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndio maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nayo ardhi haioteshi mavuno.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu hii mbingu zimewanyima umande, nayo nchi ikawanyima mazao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa zisitoe umande, nayo nchi imezuiliwa isitoe matunda yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndiyo maana mbingu zimeacha kunyesha mvua, nao udongo hauoteshi mavuno.