Haggai 1:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Hagai, mjumbe wa Mwenyezi-Mungu, akawapa watu ujumbe ufuatao kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Mwenyezi-Mungu asema: “Mimi nipo pamoja nanyi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Hagai, mjumbe wa Mwenyezi Mungu, akawapa watu ujumbe huu wa Mwenyezi Mungu: “Mimi niko pamoja nanyi,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Hagai mjumbe wa Bwana, katika ujumbe wa Bwana, akawaambia watu, akisema, Mimi nipo pamoja nanyi, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Hagai, mjumbe wa Mwenyezi-Mungu, akawapa watu ujumbe ufuatao kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Mwenyezi-Mungu asema: “Mimi nipo pamoja nanyi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Hagai, mjumbe wa BWANA, akawapa watu ujumbe huu wa BWANA, “Mimi niko pamoja nanyi,” asema BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Hagai, mjumbe wa bwana, akawapa watu ujumbe huu wa bwana: “Mimi niko pamoja nanyi,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Hagai mjumbe wa BWANA, katika ujumbe wa BWANA, akawaambia watu ujumbe wa BWANA, akisema, Mimi nipo pamoja nanyi, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Hagai, mjumbe wa Mwenyezi-Mungu, akawapa watu ujumbe ufuatao kutoka kwa Mwenyezi-Mungu: Mwenyezi-Mungu asema: “Mimi nipo pamoja nanyi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Hagai aliyetumwa na Bwana alipowaambia wao wa ukoo huu kwa kuagiziwa huo utume na Bwana, akasema: Ndivyo, asemavyo Bwana: Mimi niko pamoja nanyi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Hagai mjumbe wa BWANA, katika ujumbe wa BWANA, akawaambia watu, akisema, Mimi nipo pamoja nanyi, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Hagai, mujumbe wa Yawe, akawapa watu ujumbe huu kutoka kwa Yawe: Mimi niko pamoja nanyi. –Ni ujumbe wa Yawe.