Haggai 1:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mnamo siku ya ishirini na nne ya mwezi wa sita, mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
siku ya ishirini na nne ya mwezi wa sita, katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
katika siku ya ishirini na nne ya mwezi, katika mwezi wa sita, katika mwaka wa pili wa Dario mfalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mnamo siku ya ishirini na nne ya mwezi wa sita, mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
katika siku ya ishirini na nne mwezi wa sita katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
katika siku ya ishirini na nne mwezi wa sita, katika mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
katika siku ya ishirini na nne ya mwezi, katika mwezi wa sita, katika mwaka wa pili wa mfalme Dario.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mnamo siku ya ishirini na nne ya mwezi wa sita, mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa siku ya ishirini na nne ya mwezi wa sita katika mwaka wa pili wa mfalme Dario.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
katika siku ya ishirini na nne ya mwezi, katika mwezi wa sita, katika mwaka wa pili wa Dario mfalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
katika siku makumi mbili na ine ya mwezi wa sita, mwaka wa pili wa utawala wa mufalme Dario.