Haggai 1:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha neno la Mwenyezi Mungu likaja kupitia kwa nabii Hagai:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo neno la Bwana lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha neno la BWANA likaja kupitia kwa nabii Hagai:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha neno la bwana likaja kupitia kwa nabii Hagai:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu ameniambia mimi nabii Hagai,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo neno la Bwana lilikuja kwa msaada wa mfumbuaji Hagai la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno la Yawe lilifika kwa njia ya nabii Hagai kusema hivi: