Haggai 1:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Je, ni sawa kwenu kukaa katika majumba yenu ya fahari hali hekalu langu ni magofu matupu?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Je, ni wakati wenu ninyi wa kuishi katika nyumba zenu zilizojengwa vizuri, wakati hii nyumba ikibaki gofu?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Huu ndio wakati wa ninyi kukaa katika nyumba zenye mapambo ya mbao, iwapo nyumba hii inakaa hali ya kuharibika?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Je, ni sawa kwenu kukaa katika majumba yenu ya fahari hali hekalu langu ni magofu matupu?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Je, ni wakati wenu ninyi wa kuishi katika nyumba zenu zilizojengwa vizuri, wakati hii nyumba ikibaki, gofu?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Je, ni wakati wenu ninyi wa kuishi katika nyumba zenu zilizojengwa vizuri, wakati hii nyumba ikibaki, gofu?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Huu ndio wakati wa ninyi kukaa katika nyumba zenye mapambo ya mbao, iwapo nyumba hii inakaa hali ya kuharibika?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Je, ni sawa kwenu kukaa katika majumba yenu ya fahari hali hekalu langu ni magofu matupu?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Siku hizi inawapasa ninyi kukaa katika nyumba zilizopambwa kwa mbao, Nyumba hii ikikaa kuwa kama hame?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Huu ndio wakati wa ninyi kukaa katika nyumba zenye mapambo ya mbao, iwapo nyumba hii inakaa hali ya kuharibika?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni sawa kwenu kukaa katika nyumba zenu nzuri wakati nyumba yangu ni mabomoko matupu?