Haggai 1:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, asema hivi Mwenyezi-Mungu: “Fikirini kama mnafanya sawa!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, Bwana wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, asema hivi Mwenyezi-Mungu: “Fikirini kama mnafanya sawa!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa hili ndilo asemalo BWANA Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote: “Zitafakarini vyema njia zenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, asema hivi Mwenyezi-Mungu: “Fikirini kama mnafanya sawa!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana mwenye vikosi anavyosema sasa: Ielekezeni mioyo yenu, izitazame njia zenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, BWANA wa majeshi asema hivi, Zitafakarini njia zenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yawe wa majeshi anasema hivi: Mufikiri vizuri juu ya namna munavyofanya!