Haggai 1:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia nitukuzwe.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pandeni milimani mkalete miti na kujenga nyumba, ili nipate kuifurahia, na nitukuzwe,” asema bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sasa, basi, nendeni milimani mkalete miti, mlijenge upya hilo hekalu, nipate kulifurahia na kutukuzwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pandeni milimani, kaleteni miti, mwijenge hiyo Nyumba! Ndipo, nitakapopendezwa nayo, nitokeze humo utukufu wangu; ndivyo, Bwana anavyosema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa basi muende kwenye milima mulete miti, muijenge upya nyumba yangu, nipate kuifurahia na kutukuzwa. –Ni Yawe anayesema hivyo.