Haggai 2:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno la Mwenyezi Mungu lilikuja kupitia nabii Hagai, kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Katika mwezi wa saba, siku ya ishirini na moja ya mwezi, neno la Bwana lilikuja kwa kinywa cha Hagai nabii, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno la BWANA lilikuja kupitia nabii Hagai, kusema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba, neno la bwana lilikuja kupitia nabii Hagai, kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Katika mwezi wa saba, siku ya ishirini na moja ya mwezi, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo siku ya ishirini na moja, mwezi wa saba mwaka huohuo, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Hagai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku ya ishirini na moja ya mwezi wa saba neno la Bwana likaja kwa msaada wa mfumbuaji Hagai la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Katika mwezi wa saba, siku ya ishirini na moja ya mwezi, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha Hagai nabii, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Katika siku makumi mbili na moja, mwezi wa saba mwaka uleule, neno la Yawe lilifika kwa njia ya nabii Hagai na kusema hivi: