Haggai 2:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: ‘Ulizeni makuhani jinsi sheria inavyosema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wa majeshi asema hivi, Waulizeni sasa makuhani katika habari ya sheria, mkisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Hili ndilo asemalo BWANA Mwenye Nguvu Zote: ‘Ulizeni makuhani jinsi sheria inavyosema:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Hili ndilo asemalo bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Ulizeni makuhani jinsi sheria inavyosema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA wa majeshi asema hivi, Waulizeni sasa makuhani kuhusu sheria, mkisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwambia: “Waambie makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivi ndivyo, Bwana Mwenye vikosi anavyosema: Waulize watambikaji maana ya Maonyo ukisema:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA wa majeshi asema hivi, Waulizeni sasa makuhani katika habari ya sheria, mkisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe wa majeshi anasema hivi: Makuhani watoe uamuzi juu ya jambo hili: