Haggai 2:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Leo ni siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, siku ambayo msingi wa hekalu umekamilika. Basi, ngojeni mwone yale yatakayotokea tangu leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Tangu leo na kuendelea, kuanzia siku hii ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, tafakarini siku ambayo msingi wa Hekalu la Mwenyezi Mungu uliwekwa. Tafakarini:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tafakarini, nawaomba; tangu siku hii ya leo na siku zijazo; tangu siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kenda, naam, tangu siku hiyo ulipowekwa msingi wa hekalu la Bwana tafakarini haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Leo ni siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, siku ambayo msingi wa hekalu umekamilika. Basi, ngojeni mwone yale yatakayotokea tangu leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Tangu leo na kuendelea, kuanzia siku hii ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, tafakarini siku ambayo msingi wa Hekalu la BWANA uliwekwa. Tafakarini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Tangu leo na kuendelea, kuanzia siku hii ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, tafakarini siku ambayo msingi wa Hekalu la bwana uliwekwa. Tafakarini:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tafakarini, nawaomba; tangu siku hii ya leo na siku zijazo; tangu siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, naam, tangu siku hiyo ulipowekwa msingi wa hekalu la BWANA tafakarini haya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Leo ni siku ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, siku ambayo msingi wa hekalu umekamilika. Basi, ngojeni mwone yale yatakayotokea tangu leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa ielekezeni mioyo yenu, mwone yatakayokuwa kuanzia siku hii ya leo na siku zote zitakazokuja tangu siku hii ya ishirini na nne ya mwezi wa tisa, ni kwamba tangu siku hii, msingi wa Jumba la Bwana ulipowekwa. Basi, ielekezeni mioyo mwone,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tafakarini, nawaomba; tangu siku hii ya leo na siku zijazo; tangu siku ya ishirini na nne ya mwezi wa kenda, naam, tangu siku hiyo ulipowekwa msingi wa hekalu la BWANA tafakarini haya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sasa, mufikiri vizuri juu ya mambo yatakayotukia. Leo ni siku makumi mbili na ine ya mwezi wa kenda, siku ambayo musingi wa hekalu umekamilika. Basi mufikiri vizuri: