Haggai 2:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyohiyo ya ishirini na nne, mwezi wa tisa, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Hagai mara ya pili:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Neno la Mwenyezi Mungu likamjia Hagai kwa mara ya pili katika siku ya ishirini na nne ya mwezi kusema:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha neno la Bwana likamjia Hagai mara ya pili, siku ya ishirini na nne ya mwezi, kusema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyohiyo ya ishirini na nne, mwezi wa tisa, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Hagai mara ya pili:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Neno la BWANA likamjia Hagai kwa mara ya pili katika siku ya ishirini na nne ya mwezi kusema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Neno la bwana likamjia Hagai kwa mara ya pili katika siku ya ishirini na nne ya mwezi kusema:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha neno la BWANA likamjia Hagai mara ya pili, siku ya ishirini na nne ya mwezi, kusema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyohiyo ya ishirini na nne, mwezi wa tisa, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia Hagai mara ya pili:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno la Bwana likamjia Hagai mara ya pili siku ya ishirini na nne ya mwezi huo la kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha neno la BWANA likamjia Hagai mara ya pili, siku ya ishirini na nne ya mwezi, kusema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku ileile ya makumi mbili na ine, mwezi wa kenda, neno la Yawe lilimufikia Hagai kwa mara ya pili kusema hivi: