Haggai 2:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa majeshi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Fedha ni mali yangu na dhahabu ni mali yangu,’ asema bwana Mwenye Nguvu Zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fedha na dhahabu yote duniani ni mali yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yangu ni fedha, yangu ni dhahabu; ndivyo, asemavyo Bwana Mwenye vikosi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema BWANA wa majeshi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Feza na zahabu yote katika dunia ni mali yangu. –Ni ujumbe wa Yawe.