Hebrews 1:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Mwenyezi Mungu, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na tena,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Pia Mungu alisema, “Ee Bwana, mwanzo uliiumba dunia, na mikono yako ikaliumba anga.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Pia alisema: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pia asema, “Hapo mwanzo, Ee Bwana, uliweka misingi ya dunia, nazo mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na tena: “Bwana, wewe uliumba dunia hapo mwanzo, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena anasema: Wewe Bwana, mwanzoni uliiweka misingi ya nchi, mbingu nazo ni kazi ya mikono yako wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na tena, Wewe, Bwana, hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Vilevile Mungu alisema: “Wewe Bwana, kwa mwanzo uliumba dunia, mbingu ni kazi ya mikono yako.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na, wewe, Bwana, mwanzo umeitia misingi ya inchi, na mbingu ni kazi za mikono yako;